MASHIRIKA SITA YA MAZINGIRA MWANZA YAUNGANA ILI KUPAMBANA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI
Katika kuunga mkono mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na mabadiliko ya Tabia Nchi wa mwaka 2021 – 2026 mashirika 6 yanayojihusisha na utunzaji wa mazingira na tabia nchi ya jijini Mwanza yameanza kampeni ya kubadilisha tabia za wananchi katika utunzaji wa mazingira kwa ujumla.