GENDER MAINSTREAMING AND POPULARASATION IN CLIMATE CHANGE STRATEGIES IN TANZANIA
When looking at a woman, consider how climate change affects her similarly to a man. When drought occurs, women may walk long distances for water, and likewise, men are required to increase financial support for the family if crop yields affected due to insufficient rainfall, leading to a rise in food prices in the market,” stated Mr. Ngussa Buyamba, the Environmental Officer of Magu District, during a climate change discussion held in Mwanza after a press meeting.
Swahili Version;
“Unapomwangalia Mwanamke, muangalie kwa kuzingatia athari za mabadiliko ya Tabia Nchi yanavyomuathiri vivyo hivyo kwa Mwanaume”
“unapotokea ukame wakinamama wanatembea umbali mrefu kufuata maji lakini Mwanaume atahitajika pia kupandisha kiwango cha kuhudumia familia kifedha endapo mazao ya chakula hayajastawi kutokana na uhaba wa mvua na kupelekea vyakula kupanda bei sokoni.” Amesema Afisa Mazingira wilaya ya Magu Bw. Ngussa Buyamba katika mjadala wa mabadiliko ya Tabia Nchi uliofanyika jijini Mwanza mara baada ya Mkutano na wahandishi wa habari.